Afya ya Uzazi Elimu Ushauri Holina Care

Pata taarifa sahihi za afya ya uzazi na mzunguko wa hedhi

Holina inakuletea bidhaa, vitabu, makala na video zinazokusaidia kufanya maamuzi bora kuhusu afya yako ya uzazi.

Elimu ya afya kwa uelewa bora — kwa maamuzi sahihi, shauriana na mtaalamu.
Holina

Hesabu Siku za Hatari

Kanuni ya 18 na 11 + usalama wa lazima (mwanzo wa hatari tunatoa siku 1).
Kalenda ya uzazi wa mpango

Ingiza siku ya kwanza ya hedhi ya mwisho na urefu wa mzunguko. Matokeo yatatoka kwenye popup nzuri (screenshot-friendly) yenye logo ya Holina.

Hii ndiyo siku ya 1 ya mzunguko.
Mfano: 31 = 22/12 hadi 21/01.